FANyumbani

Yanga vs Dodoma Jiji, Simba vs Mashujaa 16 bora ASFC

TIMU za Yanga, Simba na Azam zimetambua klabu zitakazokabiliana nazo katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) hatua ya 16 bora.

Bingwa mtetezi Yanga imepangwa kucheza ugenini dhidi ya Dodoma Jiji wakati Simba pia ikicheza ugenini kukabiliana na Mashujaa ya Kigoma.

Azam itakuwa uwanja wa nyumbani kuikaribisha Mtibwa Sugar.

Michezo mingine ni kama ifuatavyo:

Singida FG vs Tabora United
KMC vs Ihefu
Coastal Union vs JKT Tanzania
Namungo vs Kagera Sugar
Geita Gold vs Rhino Rangers

Related Articles

Back to top button