Filamu

Wema: Kuhusu kupata mtoto ipo hivi…

DAR ES SALAAM; Msanii wa Filamu Bongo, Wema Sepetu anatamani sana kupata mtoto lakini hapati hivyo wakati mwingine hujifanya hataki.

Kupitia mahojiano yake na kituo cha redio Furaha TV Wema amesema kuwa mara nyingi mtu anaetaka kitu fulani huwa hapati kama yeye mara anatamani kupata ujauzito lakini hajawahi kupata kwahiyo kuna kipindi anajifanya kama hataki anasema kabisa mbona sitaki ili itokee lakini moyoni anataka sana.

‘’Tunaotaka mimba ndio huwa hatupati wasiotaka wanapata.’’

Pia amesema kuwa “Baki single kama huwezi kumpa muda au kutenga muda kwaajili ya mpenzi wako haina haja ya wewe kumpotezea muda mtoto wa watu dada au kaka anayetamani muda wako kama umekubali mpatie muda uwezi fanya maisha yako hakuna atakae kulalamikia.”amesema Wema

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button