World Cup

Stars kazini kufuzu Kombe la Dunia

TIMU ya taifa ya mpira wa miguu(Taifa Stars) inashuka dimbani leo katika mchezo wa kwanza kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Niger.

Mchezo huo wa kundi E utafanyika kwenye uwanja wa Marrakesh, Morocco.

Nchi nyingine katika kundi hilo ni Zambia, Morocco na Congo.

Michezo mingine ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia ukanda wa Afrika inayopigwa leo ni kama ifuatavyo:

KUNDI B
Senegal vs Sudan Kusini

KUNDI C
Afrika Kusini vs Benin

Barani Ulaya pia kuna patashika mechi za kufuzu Kombe la Ulaya  ambazo ni hizi hapa:

Kundi B
Ufaransa vs Gibraltar
Uholanzi vs Ireland

KUND D
Armenia vs Wales
Latvia vs Croatia

KUNDI I
Belarus vs Andorra
Israel vs Romania
Uswisi vs Kosovo

Related Articles

Back to top button