AFCON
Somalia vs Eswatini kufuzu AFCON
MTANANGE mmoja wa raundi ya awali kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) 2024/2025 unapigwa leo Morocco.
Mchezo utakuwa kati ya Somalia na Eswatini kwenye uwanja wa Ben M’Hamed El Abdi katika mji wa El Jadida.
Somalia ipo nafasi ya 53 katika viwango vya mpira wa miguu Afrika wakati Eswatini ni ya 46.