Nyumbani

Scanda ang’oka Ihefu

KLABU ya Ihefu imetangaza kuachana na Ofisa Mtendaji Mkuu wake Biko Scanda.

Ihefu imetangaza hatua hiyo kupitia mitandao yake ya kijamii.

“Uongozi wa timu yetu ya Ihefu Sc imefikia makubaliano ya pande mbili ya kusitisha Mkataba wa kazi na aliekua Ofisa Mtendaji Mkuu wa timu yetu Ndugu Biko Mangasini Scanda,” imesema taarifa ya Ihefu.

Ihefu ilimteua Scanda kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Novemba 22, 2023.

Related Articles

Back to top button