EPL
Salah ahusishwa Saudia

KLABU ya Al-Ittihad imepanga kuwasilisha pauni milioni 51.8 kwa ajili ya kumsajili Mohammed Salah kutoka Liverpool.
Taarifa kutoka Al-Riyadiah nchini Saudia zinaeleza klabu hiyo itampa Salah pauni milioni 155 mshahara wa mkataba wa miaka miwili.