KwinginekoSerie A

Patashika Ligi Kuu Italia leo

LIGI Kuu ya mpira wa miguu Italia inaendelea leo kwa michezo minne.

Inter Milan inaongoza ligi hiyo yenye timu 20 ikiwa na pointi 45 baada ya michezo 18.

Klabu inayoshika mkia ni Salernitana yenye pointi 12 baada ya michezo 18.

Mechi hizo za leo ni kama ifautavyo:

Inter vs Verona
Frosinone vs Monza
Lecce vs Cagliari
Sassuolo vs Fiorentina

Related Articles

Back to top button