Mastaa

Nandy Atimkia CCM

DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo fleva nchini Faustina Mfinanga ‘Nandy’ ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Akizungumza Julai 6,2024 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam Nandy ametangaza rasmi kuwa mwanachama wa CCM.

“Mimi kama kijana na msanii wa Bongo fleva Natangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM chama tawala vijana ndio Taifa la Leo, kesho na kesho kutwa.”amesema Nandy

Nandy pia amewaasa vijana wapenda maendeleo kujiunga na Chama hicho .

Related Articles

Back to top button