FANyumbani

Moto raundi 3 ASFC kuwaka tena leo

MECHI za raundi ya tatu ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) inaendelea leo kwa mitanange miwili.

Namungo ya Lindi itakuwa mwenyeji wa Transit Camp ya Dar es Salaam kwenye uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Stand United ya Shinyanga imesafiri hadi mkoa wa Morogoro kuwa mgeni wa Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Manungu Complex, Turiani mkoani humo.

Related Articles

Back to top button