Ligi Kuu

“Mnunueni Kibu mfilisike” – Ahmed

DAR ES SALAAM: Meneja wa Habari na Mawasiliano na Msemaji wa Klabu wa Simba SC, Ahmed Ally amesema mchezaji wao Kibu Denis ambaye alihusishwa kujiunga na watani wao wa jadi Yanga hatoondoka klabuni hapo na ikiwa watataka kumnunua wajiandae kufilisika na kwamba suala la malipo kwao sio shida.

Ahmed Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na Crown media akifananisha suala hilo na kulitoa jua Mashariki lichomoze magharibi.

“Wana hatari ya kufilisika hao hawana uwezo wa kumiliki mchezaji aina ya Kibu, hawana cha kumlipa Kibu Denis Prosper hawana uwezo wa kuchukua mchezaji Simba Sports Club niamini mimi. Haiwezi kutokea yani ni sawa na kulitoa jua Mashariki lichomoze magharibi” amesema Ahmed

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button