Africa

Mazembe yakanusha kifo cha Kalaba

KLABU ya TP Mazembe imekanusha taarifa za kifo cha aliyekuwa mchezaji wao Rainford Kalaba.

Awali taarifa ya klabu hiyo ilisema mchezaji huyo amefariki katika ajali nchini Zambia.

Taarifa ya pili ya TP Mazeme inasema Kalaba yupo kwenye chumba cha wagonjwa mahututi chini ya ulinzi wa madaktari.

Related Articles

Back to top button