Liverpool vs Arsenal: Mechi ya kibabe EPL
MICHEZO ya mpira wa miguu ya ligi mbalimbali duniani inafanyika ukiwemo mtanange kati ya Liverpool na Arsenal, Ligi Kuu England(EPL).
Arsenal inaongoza EPL ikiwa na pointi 39 baada ya michezo 17 wakati Liverpool ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi 38.
Katika kipindi cha miaka sita iliyopita Liverpool imeifunga Arsenal mara nane, zimetoka sare mara tatu na Arsenal imeifunga Liverpool mara nne.
Michezo mingine ya ligi bora tatu za England, Hispania na Italia leo ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
West Ham vs Manchester United
Fulham vs Burnley
Luton Town vs Newcastle United
Nottingham Forest vs Bournemouth
Tottenham Hotspur vs Everton
LALIGA
Atletico Madrid vs Sevilla
SERIE A
Frosinone vs Juventus
Bologna vs Atalanta
Torino vs Udinese
Inter vs Lecce
Verona vs Cagliari
Roma vs Napoli