LIGI Kuu Tanzania Bara kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 inaendelea kwa michezo sita kwenye viwanja tofauti.
Ligi hiyo ilisimama kupisha michuano mbalimbali ikiwemo ya Kombe la Mapinduzi.
Mitanange ya leo U20 ni kama ifuatavyo:
TANZANIA PRISONS vs AZAM
Sokoine, Mbeya
YANGA vs KMC
Kigamboni, Dar
NAMUNGO vs SIMBA
Majaliwa, Lindi
SINGIDA FOUNTAIN GATE vs KAGERA SUGAR
Jamhuri, Dodoma
JKT TANZANIA vs GEITA GOLD
Jamhuri, Dodoma
MTIBWA SUGAR vs MASHUJAA
Manungu, morogoro