World Cup

Kombe la Dunia la klabu kuanza leo

MASHINDANO ya Kombe la Dunia la Klabu yanaanza leo nchini Saudi Arabia kwa mchezo wa ufunguzi kati ya Al Ittihad na Auckland City.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa King Abdullah Sports Citya uliopo jiji la Jeddah.

Timu nyingine zinazoshiriki mashindano hayo ni Manchester City, Leon, Urawa Red Diaminds, Al Ahly na Fluminense.

Fainali itafanyika Desemba 22, 2023.

 

Related Articles

Back to top button