Ligi KuuNyumbani

KMC yaipigisha kwata JKT Tanzania

KLABU ya KMC imeutumia vyema uwanja wake wa nyumbani wa Uhuru, Dar es Salaam baada ya kuichapa JKT Tanzania mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Bao la kwanza la KMC limefungwa na Awesu Awesu katika dakika ya 39 kabla ya Waziri Junior kupigilia msumari dakika za nyongeza za kipindi cha kwanza.

Bao la kufuatia machozi la JKT Tanzania limefungwa na Edward Songo katika dakika ya 85.

Related Articles

Back to top button