Ligi KuuNyumbani

KMC kuizuia Yanga leo?

IKIONGOZA kwa pointi 4 katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara hadi sasa klabu ya Yanga leo ina nafasi kuongeza pointi zaidi iwapo itashinda mchezo dhidi ya KMC.

Mchezo huo pekee leo utafanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro baada ya wenyeji KMC kuhamishia michezo yake mkoani humo kutoka Azam Complex, Dar es Salaam.

Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 40 baada ya michezo michezo 15 wakati KMC ipo nafasi ya 5 ikiwa na pointi 22.

KMC na Yanga zimecheza jumla ya mechi 10 za Ligi Kuu Yanga ikishinda 7, zimetoka sare 2 na KMC imeshinda 1.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button