Ligi KuuNyumbani

Kivumbi Ligi Kuu kuendelea leo

LIGI Kuu ya soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo miwili kupigwa Kigoma na Kagera.

‘Wanamapigo na Mwendo’, Mashujaa itakuwa uwanja wake wa nyumbani wa Lake Tanganyika mjini Kigoma kuikaribisha ‘MbogoMaji’, Ihefu kutoka Mbarali mkoani Mbeya.

‘Wachimba dhahabu’, Geita Gold kutoka mkoani Geita itakuwa mgeni wa ‘Walima Miwa’, Kagera Sugar kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Matokeo ya michezo ya ligi hiyo iliyofanyika Septemba 15 ni kama ifuatavyo:

Dodoma Jiji    1-1   Mtibwa Sugar
Tabora United 3-1   Tanzania Prisons
KMC               2-1  JKT Tanzania

Related Articles

Back to top button