PATASHIKA ya michuano kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) 2023 na Kombe la Mataifa ya Ulaya(EURO) 2024 inaendelea leo kwa mechi kadhaa viwanja tofauti.
Mechi za AFCON ni kama ifuatavyo:
KUNDI I
DRC Congo vs Sudan
Mauritania vs Gabon
KUNDI K
Morocco vs Liberia
KUNDI L
Msumbiji vs Benin
Senegal vs Rwanda
Michezo ya EURO 2044
KUNDI C
Ukraine vs England
Macedonia ya Kaskazini vs Italia
KUNDI F
Azerbaijan vs Ubelgiji
Estonia vs Sweden
KUNDI I
Andorra vs Belarus
Kosova vs Uswisi
Romania vs Israel