DAR ES SALAAM: Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameweka wazi kuwa anapenda wimbo wa wasanii wa Bongo fleva Ali Kiba ‘King Kiba’ na Marioo.
–
Kupitia mtandao wa instagram ametaja list ya nyimbo na wasanii anaowakubali.
–
“Napenda sana wimbo wa Alikiba na Marioo unaoitwa ‘I love you’ naupenda sana upo kwenye tano bora zangu”amesema Hamisa Mobetto
–