Ligi KuuNyumbani

JKT Tanzania, Simba kukiwasha Mbweni

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imebadilisha uwanja na muda wa mchezo kati ya JKT Tanzania na Simba uliopangwa kufanyika Februari 15.

Taarifa ya bodi hiyo imesema:”Sababu ya mabadiliko hayo ni klabu ya JKT Tanzania FC kubadilisha uwanja wanaotumia katika michezo yao ya nyumbani kutoka Azam Complex kwenda uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ambao hauna taa hivyo hauwezi kuchezwa michezo ya usiku.”

Mchezo huo utaanza saa 10.00 alasiri badala ya saa 12.15 jioni za awali.

Related Articles

Back to top button