Burudani
Hamisa azungumzia ‘Party’ yake China

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameweka bayana sababu za kufanyiwa ‘Party’ nchini China na mpenzi wake.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Hamisa amesema alifanya ‘party’ ya kunikaribisha rasmi na kunitambulisha kwa ndugu, jamaa na rafiki zake.
“Lengo la ‘party’ ni kunikaribisha rasmi kwakuwa mara nyingi nikienda nakuwa bize na kazi zangu, siwezi kusema kiasi cha pesa kilichotumika kwa kuwa aliandaa yeye mwenyewe.” amesema Hamisa