Mitindo

Halima Kopwe kazi tu

DAR ES SALAAM: wa taji la Miss Tanzania mwaka 2023, Halima Kopwe amesema wingi wa kazi ni sababu ya kutokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu.

Mrembo huyo amesema kwa sasa anaendelea na kazi zake hivyo hatoweza kuingia katika uhusiano hadi atakapomaliza kazi zake.

“Muda mwingi nimekuwa katika project zangu na kazi muda wa kuingia katika mahusiano kwa kuwa mahusiano unataka muda nami kwa sasa sina muda nipo single na nitaendelea na project zangu sitaki mapenzi,” amesema Kopwe.

Aidha ameongeza kuwa anapohitaji kupoteza mawazo muda wake anatumia na marafiki zake kubadilisha mawazo mbali mbali.

“Kwenye kubadilisha mawazo yangu mara nyingi nikijiona mbeke natoka na marafiki wapo tunabadilisha mawazo na kufurahia maisha nakuwa sawa zaidi.”amesema Kopwe.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button