Ligi KuuNyumbani

Dodoma Jiji kuididimiza Prisons leo?

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kufanyika mkoani Mbeya.

Maafande wa Tanzania Prisons watakuwa uwanja wa nyumbani wa Sokoine jijini Mbeya kuwakaribisha walima zabibu kutoka makao makuu ya nchi, Dodoma Jiji.

Dodoma Jiji ipo nafasi ya 6 katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 15 baada ya michezo 10 wakati Tanzania Prisons inashika nafasi ya 15 ikiwa na pointi saba.

Related Articles

Back to top button