EPL
Chelsea yamnasa Sanchez

CHELSEA imekamilisha usajili wa golikipa Robert Sanchez kutoka Brighton & Hove Albion kwa dau la pauni milioni 25 pamoja na pauni 5 za nyongeza.
Taarifa ya Fabrizio Romano imeeleza kipa huyo amekubali mkataba wa muda mrefu.
Vipimo vya vitafuata, kipa huyo atachukuwa nafasi ya Mendy, hivyo atachuana na Kepa klabuni hapo.