KwinginekoLa Liga

Barca kukwea nafasi LaLiga leo?

MIAMBA ya kabumbu Hispania Barcelona leo inashuka dimbani ugenini dhidi ya La Palmas katika mchezo wa Ligi Kuu ya nchi hiyo, LaLiga.

Michezo mingine ya Laliga leo itashuhudia Osasuna ikiwa mwenyeji wa Almeria wakati Athletic Club ipo ugenini dhidi ya Sevilla.

Huko England kuna mchezo mmoja wa Kombe la FA raundi wa tatu Everton ikicheza ugenini dhidi ya Crystal Palace.

Nako Italia, Juventus itakuwa nyumbani kuikabili Salernitana katika mchezo pekee wa Coppa Italia.

Related Articles

Back to top button