Burudani
Diamond aomba wasanii wa kike kuungwa mkono

Msanii Naseeb Abdul, ‘Diamond Platnum’ amewaomba wasanii wa kiume kuwashika mkono wasanii wa kike ili kutimiza ndoto zao.
Diamond Platnum amesema kuwa wasanii wa kiume tunafanya vizuri lakini tunawasahau Dada zetu wanahitaji kufika mahali fulani.
“Natamani wasanii wenzangu tulizingatie hili wasanii wakike ni wachache wanahitaji nafasi ya kusapotiwa na kupewa nafasi ilikuongeza ushindani katika tasnia.” amesema Diamond Platnum